SHEIKH PONDA APELEKWA MAHABUSU SEGEREA

Leo hii, Sheikh Ponda Issa Ponda aliyekuwa amelazwa katika wodi ya Kitengo cha Taasisi ya Tiba ya Mifupa na Upasuaji wa Mishipa ya Fahamu (MOI) alikokuwa akipatiwa matibabu, amehamishiwa katika gereza la Segerea.



Kwa mujibu wa mashtaka aliyosomewa akiwa MOI, Sheikh Ponda atalazimika kurudishwa tena mahakamani siku kesi yake itakapotajwa Agosti 28 mwaka huu, ambapo upelelezi wa kesi hiyo bado haujakamilika.

Sheikh Ponda akiwa kwenye gari tayari kuelekea Segerea huku akishuhudiwa na mkewe.



Share on Google Plus

About mahamoud

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 comments:

Post a Comment